Katika maelezo yaliyojaa mazingatio, khatibu alibainisha kuwa Moto wa Jahannamu una mawe yanayochoma hadi kufikia ubongo wa waliomo ndani yake, na kwamba kila aina ya moto ni adhabu maalumu kwa aina fulani ya dhambi, kama zilivyobainishwa katika Hadithi za Mtume.
Wafunga balozi zao na kutoa wafanyakazi wao kukimbia kutoka kwenye ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel baada ya kushuhudia Moto wa Jahannam ukiwaka kwenye Makombora ya Iran.