Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ifuatayo listi ya nchi kadhaa zilizofunga balozi zao na kutoa wafanyakazi wao kutoka kwenye ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel baada ya kushuhudia Moto wa Jahannam kwenye Makombora ya Iran.
Nchi hizo ni hizi zifuatazo:
• Marekani
• Uingereza
• Ujerumani
• Ufaransa
• Hispania
• Italia
• China
• Korea Kusini
• Ugiriki
• Jamhuri ya Slovakia
• Jamhuri ya Chekia
• Ureno
• Ubelgiji
• Syria
• Romania
• Jamhuri ya Slovenia
• Albania na
• Poland.
Your Comment