Lengo na makusudio ya kauli hii inayosapoti na Aya hizo Tukufu ni kuondoa hofu moyoni, kwa kutomwogopa yeyote anayenuia kuwa “juu yako” au kukudhuru kwa lolote, kwani Mwenyezi Mungu akiwa pamoja nawe, hakuna mwenye uwezo juu yako isipokuwa kwa idhini Yake.
"Msimtegemee walio dhabiti katika dhulma; mtakapowaegemea, moto utakushika. Hakuna wa wenu mwingine wa kumtegemea badala ya Mwenyezi Mungu; kisha hamtaungwa mkono".