Mtihani huu ni sehemu ya ratiba ya kitaasisi ya kila mwaka inayojumuisha mitihani minne ya robo. Mitihani inatarajiwa kukamilika Alhamisi ya wiki hii.
Majukumu ya Mwalimu yamegawanyika katika sehemu kuu tatu :- Majukumu yake binafsi, majukumu juu ya wanafunzi wake, na majukumu yake akiwa darasani.