Mtume Muhmmad(s.a.w.w)

  • Sababu ya Ushujaa na Ujasiri wa Ali bin Abi Talib (a.s)

    Sababu ya Ushujaa na Ujasiri wa Ali bin Abi Talib (a.s)

    Sheikh Said Othman: "Imam Ali (a.s) anakumbukwa na Ulimwengu wote wa Kiislamu kuwa yeye ni Shujaa wa Kiislamu, aliyeupigania Uislamu, na kuuhami Uislamu kwa ushujaa wake na ujasiri wake, daima aliutetea uhai wa Uislamu na aliuheshimisha Uislamu kupitia Upanga wake, kama ambavyo Ummul - Muuminina Khadija (s.a) aliuhamia na kuuheshimisha Uislamu kupitia Mali yake".