Hujjatul-Islam Muhammad Miyan Abidi Qummi: "Lengo kuu la mashambulio kama haya,” alisema, “ni kudhoofisha harakati ya ulinzi wa wakfu na kunyamazisha sauti ya wanaotetea haki.”
"Abbas al-Zaydi", Mwanaharakati wa vyombo vya habari kutoka Iraq, ameandika katika makala yake kwamba:
Marekani, kwa jina la amani, inaendeleza vita vyake vya hivi karibuni dhidi ya dunia kwa njia kadhaa, ambazo huenda muhimu zaidi kati ya hizo ni kupitia miungano kama NATO, utawala wa Kizayuni wa Israel, na magenge ya kigaidi.