Parestina
-
Maelfu wamzika waziri wa Parestina aliyeuawa na askari wa Israel + Picha
Maelfu ya Wapalestina walikusanyika leo kuomboleza kifo cha waziri wao aliyeuawa wakati wa makabiliano ya waandamanaji na wanajeshi wa Israel, wakati wanajeshi zaidi wakipelekwa katika Ukingo wa Magharibi na kujiandaa kwa vurugu.
-
Wapalestina waishutumu Israel kwa kumuua waziri wao
Waparestina wameilaumu Israel kwa kusababisha kifo cha waziri wa nchi hiyo.
-
Israel yadai kuwa Hamas ilipanga kumuua waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo
Ripoti kutoka vyombo vya habari nchini Israel zinaarifu kuwa wanamgambo wa kundi la Hamas la Palestina walikuwa wamepanga njama ya kumuua waziri wa mambo ya nje wa Israel, Ivgador Lieberman
-
Sinagogo lashambiliwa, wanne wauawa Israel
Watu wawili wenye silaha wanaosadikiwa kuwa ni Wapalestina wamelivamia sinagogi mjini Jerusalem na kuwashambulia waumini waliokuwa ndani ya sinagogi hilo.
-
Machafuko yazidi kupamba moto baina ya Israel na waparestina
Hali ya utulivu imetoweka kabisa baina ya Waisrael na waparestina baada ya waisrael kuchoma moto Msikiti wa waparestina ambapo pia vitabu vutukufu vya Qur na vimeteketezwa na moto huo.