Misikiti 10 Yenye Maeneo Makubwa Zaidi Duniani (Tanbihi: Ukubwa unakusudiwa ni Eneo zima la Msikiti - Sio Uwezo wa Idadi ya Waumini wanaingia ndani yake, kwa kutizama uwezo Msikiti wa Kwanza uwezo inakuwa ni Masjid Al-Haram, ndio unaongoza kwa kubeba watu wengi zaidi kuliko Misikiti mingine, kwa Mantiki Masjid Imam Reza a.s inakuwa ya Tatu Duniani kwa kutizama uwezo na Ukubwa wa eneo, lakini inakuwa ya kwanza Duniani kwa kutizama Ukubwa wa eneo tu).
Gaza ina idadi kubwa zaidi ya watoto waliokatwa viungo vyao katika historia ya kisasa, huku Israel ikizidisha mzozo wa kibinadamu kwa kukiuka usitishaji vita na mzingiro.