Sheikh Ali Al-Khatib, Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Waislamu wa Kishia nchini Lebanon, amesisitiza kuwa makabiliano na utawala wa Kizayuni wa Israel si mapambano ya kijeshi pekee, bali ni mapambano ya kistaarabu, kiutamaduni na kihistoria. Ameeleza kuwa, licha ya adui huyo kupata uungwaji mkono mkubwa kutoka mataifa mbalimbali duniani, ameshindwa kuwalazimisha wananchi wa Lebanon kusalimu amri.
Sheikh Ali Al-Khatib, Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon, ameitaka serikali isitoe marupurupu ya kihalisi au kisiasa bila malipo kwa adui wa Kizayuni.