"Ni kweli kwamba usitishaji wa vita umewapa Wapalestina muda wa kupumua, lakini tunapaswa kuwa waangalifu dhidi ya mpango wa kibepari wa Trump. Haiwezekani Marekani - ambayo ni mshirika mkuu katika mauaji ya Wapalestina - kuwa msuluhishi wa haki. Katika mpango wa vipengele 20 wa Trump, hakuna popote palipotajwa uhuru wa Palestina.”
Iran ni taifa lenye mshikamano, na wanaweka kando tofauti zao ili kusimama kwa umoja na mshikamano katika kukabiliana na uchokozi wa Marekani na Israel.