Ayatullah Al-Udhma Makarem Shirazi, mmoja wa Marjaa wakuu wa Kishia, amesema:
"Ninatoa salamu zangu za rambirambi na pole za dhati kufuatia kufariki dunia kwa mwanazuoni huyu mchamungu, mwenye moyo wa dhati na mapenzi makubwa kwa familia tukufu ya Mtume (Ahlul-Bayt – AS).
Ninatoa rambirambi zangu kwa Imam Mahdi (AJ), Vyuo vya Kidini (Hawza Ilmiyya), familia tukufu ya marehemu pamoja na wanawe wapendwa.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu amnyanyue marehemu katika daraja za juu, amjaalie kuwa pamoja na mawalii Wake wema, na awape familia yake na wote waliofiwa subira njema na malipo makubwa."
Trump Atatoa Uamuzi Kuhusu Mafuta ya Venezuela Ijumaa Akihudhuria Wakurugenzi wa Makampuni Makuu ya Mafuta.
Taarifa zinaonyesha kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, atakutana Ijumaa na wakurugenzi wa makampuni makuu ya mafuta ili kufanya maamuzi kuhusu sekta ya mafuta ya Venezuela.