Bibi Zainab (a.s.) bila shaka ni miongoni mwa wanawake wa Peponi, tena anahesabiwa kuwa miongoni mwa wanawake wenye daraja za juu kabisa Peponi. Kutotajwa kwake katika Hadithi hiyo maalumu kunatokana na muktadha wa wakati na walengwa wa Hadithi hiyo, wala si kwa sababu ya kuwa na cheo au daraja la chini.
Hezbollah imeripotiwa kuanzisha kampeni ya kulenga makamanda waandamizi wa Israel kusini mwa Lebanon kwa kutumia droni za upelelezi na mashambulizi, huku ving’ora vya tahadhari vikisikika zaidi ya mara 25 kaskazini mwa Israel kutokana na makombora na droni zilizorushwa kutoka Lebanon.