Tathmini za vyombo vya habari vya Marekani na tafiti za maoni zilizofanywa miongoni mwa wapiga kura zinaonyesha kuwa masuala ya uchumi, gharama za maisha, sera za uhamiaji, vita dhidi ya Iran na namna serikali ya shirikisho inavyoendeshwa yalikuwa miongoni mwa mada muhimu katika uchaguzi huo.
Spika wa Bunge la Kiislamu la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amemjibu Mkuu wa Majeshi ya Marekani, Dan Caine, kupitia ujumbe alioutoa kufuatia kauli yake.
Qalibaf amesema: “Kilichokuwa jinamizi la kutisha kwenu siku moja, sasa kimekuwa ukweli.”