Chanzo: Kituo cha Kitaifa cha Majibu ya Maswali ya Dini | Swali:
Ikiwa Binadamu wote wana Fitra moja ya kumpwekesha Mungu na Manabii (as) daima wamekuwa wakiwaita watu katika ibada ya Kumuabudi Mwenyezi Mungu Mmoja, basi kwa nini katika historia, jamii nyingi kama Waarian wa kale au Wahindu walipata kuangukia kwenye ushirikina na ibada ya miungu mingi? Je, jambo hili si kinzani na madai ya kidini (juu ya Fitra ya Mwanadamu kuwa ya kumpwekesha Mwenyezu Mungu)?.
Ayatollah Khamenei amesisitiza nafasi ya kihistoria na ya kimkakati ya Iran na China katika bara la Asia na duniani, na akasema kuwa:
"Iran na China, zikiwa na historia ya ustaarabu wa kale katika pande mbili za Asia, zina uwezo wa kuleta mabadiliko katika medani ya kimataifa na kikanda. Kuweka katika vitendo vipengele vyote vya makubaliano ya kistratejia, kutarahisisha njia hii."