Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Umoja wa Waislamu nchini Pakistan amesema kuwa, badala ya Pakistan kujiunga na vita kwa upande mmoja katika mgogoro kati ya Yemen na Saudi Arabia, inapaswa kufanya juhudi za kuleta amani.
“Wamarekani wanaendelea kuleta vifaa vipya vya kijeshi katika eneo hili huku wakidai kuwa wanatafuta kusitisha vita. Lakini wameweka matumaini yao katika kiwango cha akili yetu kulingana na kiwango chao kidogo cha uelewa.”