Mwalimu wa Hawza ya Kiislamu, akizungumzia uwepo wa Yajuj na Majuj katika zama zote, alisema:
“Yajuj na Majuj hawajafa; wapo katika kila enzi na kila kipindi. Wapo pia ndani ya nafsi ya mwanadamu. Matamanio ya kupindukia ya mali, tamaa za kingono, kutafuta madaraka, umaarufu, vyeo na mambo mengine kama hayo, ndiyo yanayowakilisha Yajuj na Majuj hawa.”
Baada ya sintofahamu hiyo, Brigedia Jenerali Denis N’Canha, Mkuu wa Brigedi ya Kijeshi mjini Bissau, alitokea katika televisheni ya taifa na kutangaza rasmi kwamba jeshi limechukua madaraka ya nchi.