Jeshi la Pakistan limetangaza kuwa nchi hiyo imefanikiwa kufanya jaribio la toleo lililoboreshwa na lenye masafa marefu la kombora la ardhini-kwa-ardhini la cruise “Fatah-4”, ambalo limetengenezwa na wataalamu wa ndani wa Pakistan.
Jamiat Al-Mustafa Tanzania yaendelea kuimarisha taaluma kupitia mtihani wa majaribio wa kila wiki unaofanyika kila Jumamosi, ikiwa ni sehemu ya tathmini endelevu ya maendeleo ya wanafunzi.