mwitikio
-
FDD yakiri kushindwa kwa kampeni ya “Besant” / Mwitikio wa kistaarabu wa wananchi kuelekea Iran
Kwa mtazamo wa Foundation for Defense of Democracies (FDD), kampeni ya “Besant” haichukuliwi kuwa mkakati wa kisayansi na uliopangwa kwa umakini dhidi ya Iran; bali ni mwitikio tu kufuatia kushindwa kwa mpango wa vita na mashambulizi ya mabomu.
-
Je, Mtoto Wako Anaogopa Zaidi Hatari za Intaneti au Mwitikio Wako (Radiamali Yako)??
Ripoti za kimataifa zinaonyesha kuwa madhara ya mazingira ya mtandaoni kwa watoto ni makubwa na ya kina. Hata hivyo, tatizo kubwa zaidi hutokea pale mtoto anapoficha madhara aliyoyapata kwa sababu ya kuogopa mwitikio wa wazazi; ilhali nyumbani panapaswa kuwa mahali salama zaidi ambapo mtoto anaweza kueleza hata ukweli mchungu zaidi.
-
Mwitikio wa Kuunga Mkono Wanaodhulumiwa; Kuongezeka kwa Kuonesha Mapenzi kwa Ayatollah Sayyid Ali Khamenei nchini Pakistan
Kuongezeka kwa kuonesha mapenzi kwa Ayatollah Sayyid Ali Khamenei nchini Pakistan, ikiwemo kuonekana kwa picha au kauli mbiu katika mabasi ya mji wa Islamabad, kunaelezwa kuwa ni ishara ya uungwaji mkono kwa viongozi wanaotetea wanyonge na kupinga dhulma.
-
Ukuta wa Ujumbe Mpya Chuo Kikuu cha Tehran: “Bendera ya Iran Haichomeki"
Ukuta wenye ujumbe “Jaribu uteketezwe bure, bendera ya Iran haitachomeka” umewekwa katika eneo la Chuo Kikuu cha Tehran, hususan katika jengo la Kitivo cha Sayansi ya Jamii, ikiwa ni mwitikio wa matukio ya jana yaliyohusishwa na baadhi ya wanafunzi wanaodaiwa kufanya vitendo vya uchochezi.
-
Hamas: Utekaji na uuaji wa vijana wa Kipalestina ni sehemu ya mpango wa mauaji ya halaiki na usafishaji wa kizazi unaotekelezwa na utawala wa Kizayuni
Hamas imetoa radiamali juu ya mauaji ya papo hapo ya vijana wawili Wapalestina huko Ukingo wa Magharibi yaliyofanywa na wanajeshi wa Kizayuni, na imeyalaani vikali.
-
Umoja wa Ulaya wakaribia kumuadhibu “Abdulrahim Dagalo” Naibu Kamanda wa Kikosi cha Mwitikio wa Haraka Sudan
Umoja wa Ulaya unakusudia kumuwekea vikwazo Abdulrahim Dagalo, Naibu Kamanda wa Kikosi cha Mwitikio wa Haraka (RSF) nchini Sudan, kwa tuhuma za ukiukaji wa haki za binadamu.