ukatili
-
Hizbullah: Ulegevu wa serikali ya Lebanon unaongeza ukatili wa Wazayuni
Hizbullah imesisitiza katika taarifa yake kwamba serikali ya Lebanon inapaswa kufahamu kuwa kila aina ya ulegevu, udhaifu au kujisalimisha mbele ya utawala wa Kizayuni kutawafanya waongeze ukatili na tamaa zao za kupindukia.
-
Msimu wa Mizeituni Umekuwa Msimu wa Mauaji katika Ukingo wa Magharibi | Ukandamizaji na mashambulizi ya wakoloni wa Kizayuni yaongezeka kwa ukatili
Msimu wa mavuno ya mizeituni - ishara ya amani na ustawi kwa Wapalestina - umegeuzwa na utawala wa Kizayuni kuwa msimu wa hofu, damu na uharibifu. Ukandamizaji na mashambulizi ya wakoloni wa Kizayuni yaongezeka kwa mpangilio na ukatili mkubwa
-
Mazungumzo ya Biashara Huria kati ya Uingereza na Israeli yameghairiwa (yamesitishwa); Balozi wa Israeli London aitwa
Serikali ya Uingereza imeamua kusitisha mazungumzo ya mkataba wa biashara huria na utawala wa Kizayuni kutokana na kuongezeka kwa ghasia zinazofanywa na wakazi wa maeneo ya mizozo na uendeshaji wa operesheni za kijeshi katika ukanda wa Ghaza. Aidha, imeweka vikwazo dhidi ya watu na mashirika yanayohusiana na ghasia hizi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza pia amemwita balozi wa utawala huo ili kutoa maelezo kuhusu hali hiyo na kusisitiza umuhimu wa kuacha mara moja matendo ya ukatili.