Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza umuhimu wa kuandaa “Mpango wa Kina wa Ushirikiano wa Kimkakati” kati ya Iran na Iraq, akisema kuwa mpango huo utakuwa ramani ya kuendeleza uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili.
"Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni mkusanyiko wa damu zote zilizomwagika, subra, dhulma, mateso na juhudi za wanazuoni na Mashia katika historia nzima. Kuyaumiza mapinduzi haya ni sawa na kuumiza Uislamu kwa jeraha lisilopona kwa karne nyingi.”