Wanazuoni hao walionya kuwa tabia kama hiyo hufungua mlango kwa wenye misimamo mikali wa dini nyingine kushambulia matakatifu ya watu wengine, na hata Huongeza uwezekano wa vitendo vya kulipiza kisasi, jambo ambalo jamii ya Marekani inaweza kuathirika nalo kwa kiwango kikubwa.
Hamas imetoa radiamali juu ya mauaji ya papo hapo ya vijana wawili Wapalestina huko Ukingo wa Magharibi yaliyofanywa na wanajeshi wa Kizayuni, na imeyalaani vikali.