20 Juni 2025 - 01:53
Video ya Shambulizi la Makombora ya Iran katika wimbi la 14 katika Operesheni yake ya Kijeshi ya "Ahadi ya Kweli 3" + Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katika Shambulizi hili la Makombora kama inavyoonekana katika video hiyo, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lililenga Shabaha na kukitwanga kikamilifu Kituo kinachohusiana na masuala ya amri na taarifa cha Jeshi la Israel.

Pigo hilo ni katika wimbi la 14 la Mashambulizi ya Kijeshi ya Iran katika Operesheni yake ya "Ahadi ya Kweli 3" dhidi ya Utawala haram na ghasibu wa Kizayuni.

Video ya Shambulizi la Makombora ya Iran katika wimbi la 14 katika Operesheni yake ya Kijeshi ya "Ahadi ya Kweli 3" + Video

Your Comment

You are replying to: .
captcha