Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Timu ya Taifa Stars imeibuka kidedea baada ya kuichapa Madagascar kwa mabao 2–1, na kufuzu rasmi kuingia hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2025.
Hongereni sana wachezaji, benchi la ufundi, na Watanzania wote kwa mafanikio haya makubwa.
Kila la heri katika hatua zinazofuata — safari bado inaendelea, ushindi unawezekana!
Your Comment