-
Matukio 4 yanayowezekana kuwa hatima ya mpinzani wa Erdogan katika uchaguzi baada ya kukamatwa kwake
Hivi sasa, kuna hali (ihtimali) nne zinazowezekana kwa ajili ya mustakabali wa Akram Imam-oglu, Meya wa Istanbul na Mgombea anayetarajiwa katika uchaguzi wa Rais wa Uturuki.
-
Ripoti ya Picha | Hotuba ya Nowruz ya Kiongozi wa Mapinduzi katika umati wa tabaka tofauti za watu
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) - Abna -; Katika siku ya kwanza ya Mwaka Mpya wa 1404, Mwaka wa "Uwekezaji kwa ajili ya Uzalishaji", Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi (21/03/2025 Ijumaa) alihudhuria katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) na kutoa Hotuba kwa watu wa matabaka mbalibali wa Tehran na kundi la viongozi.
-
Harakati ya Hamas Imekanusha Kusimamishwa kwa Mazungumzo
Harakati ya Hamas imesema kuwa ripoti ya vyombo vya habari vya Kiebrania kuhusu kusitisha mawasiliano au kusitishwa kwa mazungumzo ya kusitisha mapigano si ya kweli.
-
Wamarekani wanapaswa kujua: Vitisho havipeleki popote; Kofi kali la usoni ni jibu la uovu wowote
Ayatollah Khamenei amesisitiza kuwa, Wamarekani wanapaswa kujua kwamba kamwe hawatafika popote kwa vitisho dhidi ya Iran na akasema: Wao na wengine wanapaswa kujua kwamba iwapo watafanya jambo lolote ovu kwa Taifa la Iran, watapigwa kofi kali.
-
Imani na matendo mema ni funguo za furaha ya Mwanadamu kwa mtazamo wa Qur'an
Hojjat-ul-Islam Madani, katika hafla ya kuhuisha usiku wa 19 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huko Mahdiyeh, Rasht, alisisitiza juu ya umuhimu wa kufikiri kabla ya dhikri katika Usiku wa Lailatul - Qadri, na kuanzisha mambo kama vile imani kwa Mwenyezi Mungu na matendo ya haki kama nguzo mbili za msingi za furaha na ustawi wa Binadamu kwa mtazamo wa Qur'an Tukufu