ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
19
Mei
2025
All Categories
All News Types
All News Boxes
filterToday News
  • Kenya | Ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa The Mainstay Foundation - UK

    Kenya | Ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa The Mainstay Foundation - UK

    Shirikaa Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa The Mainstay Foundation - UK, na kusikiliza taarifa za maendeleo ya miradi, sambamba na kikao cha ubunifu na wafanyakazi wa Bilal Kenya katika Makao Makuu Mjini Mombasa. Tunashukuru kwa msaada wa kudumu.

    2025-05-19 23:43
  • Jifunze na Faidika na Hekima Hii | "Mbuzi wako Mweusi Mtafute Ikiwa Jua Bado Lipo

    Jifunze na Faidika na Hekima Hii | "Mbuzi wako Mweusi Mtafute Ikiwa Jua Bado Lipo

    Msemo huu Una maana kubwa na muhimu Sana katika kumsaidia Mwanadamu kuyafikia Maendeleo yake halali kwa haraka.

    2025-05-19 22:51
  • Mwenyekiti wa JMAT-TAIFA aongoza Kikao cha Maandalizi na Viongozi wa JMAT Kata ya Dar-es-Salaam Kuelekea Kongamano la Qur’an Litakalofanyika Kesho

    Mwenyekiti wa JMAT-TAIFA aongoza Kikao cha Maandalizi na Viongozi wa JMAT Kata ya Dar-es-Salaam Kuelekea Kongamano la Qur’an Litakalofanyika Kesho

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- linapenda kuwataarifu wananchi na wadau wote wa amani na maridhiano popote walipo kuwa mapema leo tarehe 19 Mei, 2025, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ameongoza Kikao Maalum na Viongozi wa JMAT kutoka Kata mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam.

    2025-05-19 21:46
  • Balozi wa Iran Nchini Tanzania awapokea Wasomaji Bingwa wa Qur'an kutoka Nchini Iran katika Uwanja wa Ndege Jijini Dar-es-salaam - Tanzania+ Picha

    Balozi wa Iran Nchini Tanzania awapokea Wasomaji Bingwa wa Qur'an kutoka Nchini Iran katika Uwanja wa Ndege Jijini Dar-es-salaam - Tanzania+ Picha

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mh. Balozi wa Iran nchini Tanzania akiwa pamoja na MKurugenzi kituo cha utamaduni ubalozi wa Iran Dr. Marif, na Rais wa Jamiat Al-Mustafa International University -Tanzania, Dr.Ali Taqavi, wameongoza mapokezi ya wageni kumi wakiwemo wasomaji Qur-an watano ambao watashiriki makongamano ya Qur-an Tukufu, Jijini Dar es salaam na Tanga.

    2025-05-19 21:25
  • Wasomaji Bingwa wa Qur’an Tukufu kutoka Iran Watua Tanzania kwa Kisomo Maridhawa cha Tajweed + Picha

    Wasomaji Bingwa wa Qur’an Tukufu kutoka Iran Watua Tanzania kwa Kisomo Maridhawa cha Tajweed + Picha

    Kisomo hicho kitafanyika kuanzia kesho, tarehe 20 Mei 2025, katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

    2025-05-19 19:57
  • Jeshi la Yemen lautwanga tena kwa kombora uwanja wa ndege wa Israel

    Jeshi la Yemen lautwanga tena kwa kombora uwanja wa ndege wa Israel

    Jeshi la Yemen limetangaza kuwa kwa mara nyingine tena limeutwangwa kwa kombora la balestiki na droni uwanja wa ndege wa Ben Gurion wa utawala wa Kizayuni huko Tel Aviv.

    2025-05-19 19:10
  • China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Israel

    China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Israel

    China imewapa tahadhari raia wake dhidi ya kusafiri kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni na kupachikwa jina bandia la Israel kutokana na kile inachokitaja kuwa sababu za kiusalama.

    2025-05-19 19:10
  • Israel imewaua wanahabari 219 wa Palestina Gaza ndani ya miezi 19

    Israel imewaua wanahabari 219 wa Palestina Gaza ndani ya miezi 19

    Maafisa wa Palestina wamesema kuwa, wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi takriban waandishi wa habari 219 na wafanyakazi wa vyombo vya habari tangu vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo kuanza katika Ukanda wa Gaza zaidi ya miezi 19 iliyopita.

    2025-05-19 19:09
  • Malengo makuu ya utawala wa Trump ya kuandaa mpango wa kuwahamishia Libya Wapalestina

    Malengo makuu ya utawala wa Trump ya kuandaa mpango wa kuwahamishia Libya Wapalestina

    Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, unaendeleza mpango wa kuwahamisha kabisa Wapalestina milioni moja kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Libya barani Afrika.

    2025-05-19 19:09
  • Yemen yayaonya mashirika ya ndege ya kimataifa kuhusu safari za kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel

    Yemen yayaonya mashirika ya ndege ya kimataifa kuhusu safari za kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel

    Afisa wa ngazi ya juu wa Yemen ameyatahadharisha mashirika ya ndege ya kimataifa juu ya kuanza tena safari za kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) huku operesheni za kulipiza kisasi za nchi hiyo ya Kiarabu zikiendelea.

    2025-05-19 19:08
  • UNRWA yatahadharisha: Ukanda wa Gaza upo kwenye ukingo wa njaa

    UNRWA yatahadharisha: Ukanda wa Gaza upo kwenye ukingo wa njaa

    Philippe Lazaarini Mkuu wa Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa kuzingirwa eneo hilo na utawala wa Kizayuni kunakwamisha misaada ya kibinadamu kuingia katika hilo; kwa hiyo wakazi wa eneo hilo wapo kwenye ukingo wa njaa.

    2025-05-19 19:07
  • Araghchi: Muda wa mazungumzo kati ya Iran na Marekani umeshajulikana

    Araghchi: Muda wa mazungumzo kati ya Iran na Marekani umeshajulikana

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kwamba wakati wa duru mpya ya mazungumzo kati ya Iran na Marekani umeshabainishwa.

    2025-05-19 19:07
  • "Makubaliano na US yanaweza kufikiwa Washington ikiacha mashinikizo"

    "Makubaliano na US yanaweza kufikiwa Washington ikiacha mashinikizo"

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema mlango wa kufikia makubaliano na Marekani upo wazi iwapo Washington itaachana na tabia yake ya uonevu na sera zake za mashinikizo na kuiburuza Tehran katika mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.

    2025-05-19 19:06
  • Jukwaa la Mazungumzo la Tehran lataka eneo lisilo na silaha za nyuklia Asia ya Magharibi

    Jukwaa la Mazungumzo la Tehran lataka eneo lisilo na silaha za nyuklia Asia ya Magharibi

    Jukwaa la Mazungumzo la Tehran (TDF) limetilia mkazo umuhimu mkubwa wa kuanzishwa kwa eneo huru lisilo na silaha za nyuklia katika eneo la Asia ya Magharibi.

    2025-05-19 19:05
  • Iran: Vikwazo vya Marekani ni ishara ya uhasama, diplomasia yao si ya kweli

    Iran: Vikwazo vya Marekani ni ishara ya uhasama, diplomasia yao si ya kweli

    Iran imelaani vikali msururu wa vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani, ikivitaja kama vitendo vya uadui dhidi ya watu wa Iran na ushahidi kuwa madai ya Marekani kuhusu kutafuta suluhisho la kidiplomasia ni ya kinafiki.

    2025-05-19 19:05
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom