ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Hawza ya Hazrat Zainab (SA) - Kigamboni, Dar-es-salaam - Imekuwa Kitovu cha Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Muhammad Baqir (A.S) + Picha

    Hawza ya Hazrat Zainab (SA) - Kigamboni, Dar-es-salaam - Imekuwa Kitovu cha Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Muhammad Baqir (A.S) + Picha

    Majlisi hiyo ilijumuisha usomaji wa Aya za Qur’an Tukufu, Hotuba za Maombolezo zilizozungumzia Historia ya Maisha ya Imam Baqir(as), pamoja na Mashairi ya Maombolezo yaliyodhihirisha huzuni kubwa ya tukio hilo.

    2025-06-04 15:28
  • Saumu ya Arafa | Kwa Mujibu wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashari: "Kufunga Siku ya Arafa ni Sunna na si wajibu"

    Saumu ya Arafa | Kwa Mujibu wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashari: "Kufunga Siku ya Arafa ni Sunna na si wajibu"

    Hoja na Dalili Juu ya Sunna ya Saumu ya Siku ya Arafa: Riwaya kadhaa za Kishia zinaelezea fadhila za kufunga Siku ya Arafa, kama vile riwaya ya Abdur_Rahman bin Abi Abdillah kutoka kwa Abul Hassan (as).

    2025-06-04 14:27
  • Kiongozi Muadhamu Ayatollah Khamenei Aongoza Maadhimisho ya Miaka 36 ya Kifo cha Imam Khomeini (MA) + Picha

    Kiongozi Muadhamu Ayatollah Khamenei Aongoza Maadhimisho ya Miaka 36 ya Kifo cha Imam Khomeini (MA) + Picha

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Sayyid Ali Khamenei katika hafla ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 36 tangu kufariki kwa Imam Khomeini.

    2025-06-04 13:55
  • Majlisi ya Shahada ya Imam Muhammad Baqir (as) | Yafanyika katika Chuo cha Al-Mustafa (s) Dar-es-salaam - Tanzania

    Majlisi ya Shahada ya Imam Muhammad Baqir (as) | Yafanyika katika Chuo cha Al-Mustafa (s) Dar-es-salaam - Tanzania

    Katika hotuba yake, Khatibu, Sheikh Chande alielezea kwa kina maisha ya Imam Baqir (as), kuanzia utotoni mwake hadi kufikia shahada yake – akisisitiza nafasi yake ya kipekee katika kuendeleza elimu ya Ahlulbayt (as), pamoja na mazingira magumu ya kisiasa aliyoyapitia.

    2025-06-04 00:17
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s); Abna Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom