ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Madrasat Imam Jawad (as) - Tanzania

    Madrasat Imam Jawad (as) - Tanzania

    Khitma ya Pamoja Kumrehemu Mmoja wa Waumini Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as).

    2025-06-05 23:59
  • Falsafa ya ‘Iddil Hajj (Eid al-Adha) kwa Mtazamo wa Ahlul Bayt (a.s)

    Falsafa ya ‘Iddil Hajj (Eid al-Adha) kwa Mtazamo wa Ahlul Bayt (a.s)

    Eid al-Adha ni zaidi ya kusherehekea; ni ishara ya kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa moyo wote, kujenga jamii ya huruma na mshikamano, na kuhuisha roho ya kujitolea. Ni nafasi ya kila Mwislamu kujiangalia upya na kuimarisha uhusiano wake na Muumba na viumbe wenzake.

    2025-06-05 20:09
  • Habari Pichani | Kongamano la “Ahlul-Bayt (a.s), Haki na Heshima ya Kibinadamu” nchini Ivory Coast kwa kuhudhuriwa na Ayatollah Ramezani

    Habari Pichani | Kongamano la “Ahlul-Bayt (a.s), Haki na Heshima ya Kibinadamu” nchini Ivory Coast kwa kuhudhuriwa na Ayatollah Ramezani

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Kongamano lenye kubeba anuani hii: “AhlulBayt (a.s), Haki na Heshima ya Kibinadamu” limefanyika katika mji wa Abidjan, nchini Ivory Coast, likihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s), Ayatollah Reza Ramezani.

    2025-06-05 17:04
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Haki za Nyuklia za Iran Lazima Ziheshimiwe Katika Mazungumzo

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Haki za Nyuklia za Iran Lazima Ziheshimiwe Katika Mazungumzo

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Uhuru wa Kisiasa ni Asili ya Sera ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu – Haki za Nyuklia Lazima Zihifadhiwe Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo maalum amesisitiza kuwa uhuru wa kisiasa ni nguzo kuu ya sera ya kigeni ya Iran, akieleza kuwa taifa hilo limekuwa likijitahidi daima kujiepusha na utegemezi au kuingiliwa na madola ya kigeni.

    2025-06-05 16:50
  • “Nunua Pepo kwa Matendo Haya Machache” – Kwa Mujibu wa Qur’an na Hadithi

    “Nunua Pepo kwa Matendo Haya Machache” – Kwa Mujibu wa Qur’an na Hadithi

    Qur’an (Al-Israa: 23): “Na watendee wema wazazi wawili.” Hili ni agizo la moja kwa moja kutoka kwa Allah - ni njia ya hakika ya kuelekea Peponi.

    2025-06-05 16:34
  • Radiamali ya Wapalestina kuhusu Kura ya Veto juu ya Azimio la Baraza la Usalama: Hatua ya Marekani ni Kutoa Uhalali wa Mauaji ya Kimbari huko Gaza

    Radiamali ya Wapalestina kuhusu Kura ya Veto juu ya Azimio la Baraza la Usalama: Hatua ya Marekani ni Kutoa Uhalali wa Mauaji ya Kimbari huko Gaza

    Ofisi ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imelaani vikali kura ya veto iliyowekwa na Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na kuitaja kama ishara ya wazi ya uungaji mkono wa Washington kwa uhalifu unaotekelezwa na utawala wa Kizayuni. Taasisi hiyo imesisitiza kuwa hatua hiyo itaongeza mgogoro wa kibinadamu huko Gaza na kusababisha kuongezeka kwa mauaji ya raia wasio na hatia. Imeyataka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu wasiokuwa na hatia katika eneo hilo.

    2025-06-05 16:22
  • Mwakilishi wa Palestina katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: "Fanikisha kuwasukuma Waisraeli kusitisha mauaji ya kimbari yanayoendelea"

    Mwakilishi wa Palestina katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: "Fanikisha kuwasukuma Waisraeli kusitisha mauaji ya kimbari yanayoendelea"

    Mwakilishi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amemshitaki utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ukiukaji wa sheria za kimataifa na hukumu za Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICC), na kuhimiza hatua madhubuti kutoka kwa nchi za dunia ili kuzuia uhalifu unaoendelea wa utawala huo katika Ukanda wa Gaza. Ametoa msisitizo kuwa mashambulizi yanayofanywa mara kwa mara na Israel dhidi ya raia wasio na hatia na kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia, ni hali inayotakiwa kupokelewa kwa uzito mkubwa na jamii ya kimataifa.

    2025-06-05 16:07
  • Kwa nini Trump ameshindwa kutatua migogoro ya kimataifa licha ya ahadi zote alizotoa?

    Kwa nini Trump ameshindwa kutatua migogoro ya kimataifa licha ya ahadi zote alizotoa?

    Katika makala yake iliyopitia miezi minne ya kwanza ya utawala wa pili wa Donald Trump, tovuti ya CNN imeandika kwamba kabla ya kuingia madarakani, rais huyo alijigamba kwamba alikuwa na uwezo wa kutatua matatizo na migogoro mikubwa ya dunia, lakini hali ya sasa sio nzuri hata kidogo, ingawa yeye si rais pekee wa Marekani kutoa ahadi za uongo kuhusu suala hilo.

    2025-06-05 15:58
  • Imamu Khomeini alilitambua adui mkuu wa Umma wa Kiislamu; vita vya vyombo vya habari dhidi ya Iran vimeanzishwa

    Katika mazungumzo na daktari kutoka Yemen:

    Imamu Khomeini alilitambua adui mkuu wa Umma wa Kiislamu; vita vya vyombo vya habari dhidi ya Iran vimeanzishwa

    Daktari mwanamke kutoka Yemen alisema: Maadui walijitahidi kuionesha Iran kuwa adui wa Umma wa Kiislamu na mbadala wa adui wa kweli, ilhali maadui wakubwa na wa kihasama zaidi wa Umma wa Kiislamu ni Mayahudi wanaopinga Uislamu.

    2025-06-05 15:57
  • Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali

    Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu kuimarisha ushirikiano na Lebanon, alipokutana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem mjini Beirut.

    2025-06-05 15:57
  • Jeshi la Iran latoa tahadhari: Tuko tayari kukabiliana na "Makosa ya Kimkakati" ya maadui

    Jeshi la Iran latoa tahadhari: Tuko tayari kukabiliana na "Makosa ya Kimkakati" ya maadui

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesisitiza utayari wake kamili wa kukabiliana na vitendo vyovyote vya uchokozi au makosa ya kimkakati kutoka kwa maadui wa taifa la Iran, kwa wakati wowote na kwa kiwango chochote.

    2025-06-05 15:56
  • Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?

    Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?

    Rais Donald Trump wa Marekani amekariri matakwa ya kupindukia mipaka ya Washington kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya pande mbili.

    2025-06-05 15:56
  • Pezeshkian: Umoja wa mataifa ya Kiislamu ni wajibu wa kidini na kistratajia

    Pezeshkian: Umoja wa mataifa ya Kiislamu ni wajibu wa kidini na kistratajia

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inatazama umoja na mshikamano miongoni mwa mataifa ya Kiislamu kuwa ni wajibu wa kidini na wa kimkakati.

    2025-06-05 15:55
  • Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji: "Ulimwengu wa Kiislamu wahitaji kutekeleza mafundisho ya Hija ili kusitisha maafa ya Gaza"

    Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji: "Ulimwengu wa Kiislamu wahitaji kutekeleza mafundisho ya Hija ili kusitisha maafa ya Gaza"

    Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa Ulimwengu wa Kiislamu kwa sasa unayahitaji zaidi kuliko wakati mwingine wowote mafundisho ya Hija, na akibainisha kuwa Hija ya mwaka huu ni msimu wa pili unaofanyika sambamba na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza, ameuliza swali lifuatalo:“Ni nani anapaswa kusimama dhidi ya janga hili la kibinadamu?” Kisha ameongeza kwa kusisitiza: “Bila shaka yoyote, serikali za Kiislamu ndizo zinazobeba wajibu wa kwanza wa jukumu hili, na mataifa ya Kiislamu yana haki ya kudai utekelezaji wa wajibu huo kutoka kwa serikali zao.”

    2025-06-05 15:45
  • Imam Khomeini: Urithi wa uongozi wa kidini na kimapinduzi

    Imam Khomeini: Urithi wa uongozi wa kidini na kimapinduzi

    Katika mwaka wa 36 wa maadhimisho ya kuaga dunia Imam Ruhollah Khomeini (MA), mwanzilishi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran, fikra zake zingali zinaendelea kuathiri sio tu mwelekeo wa kisiasa wa Jamhuri ya Kiislamu bali pia mijadala mipana zaidi kuhusu mahusiano kati ya Uislamu na siasa katika ulimwengu wa Kiislamu.

    2025-06-05 14:59
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s); Abna Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom