-
Lariyani: “Mazungumzo Sio Kipaumbele Sasa – Adui Lazima Kueleza Kwanza Sababu ya Vita”
Mazungumzo ni (Taktiki) mbinu tu ya Kisiasa inayotumika kufikia lengo Maalum. “Muachieni Kiongozi wa Mapinduzi aamue ni wakati gani na wapi ni sahihi kutumia mbinu hii.”
-
Kamanda wa Jeshi la Iran (IRGC) Aonya: "Tutarejelea mapigano (vita) kwa kuanzia katika nukta ile tulipoishia - Hatutamuacha Adui Mchokozi!"
Jenerali Pakpour alisisitiza kuwa majeshi ya Iran yako katika hali ya juu ya utayari na mshikamano kamili kurudia mashambulizi dhidi ya adui, akibainisha kuwa: “Waisraeli wameuona moto wa kuzimu waliokuwa wameahidiwa kwa macho yao wenyewe katika siku za mwisho za vita.”
-
Jamiat Al-Mustafa (s)-Malawi | Msimamizi wa masuala ya Utamaduni akutana na Wanafunzi wa Dini Kusikiliza Changamoto na Kujadili Mabadiliko mbalimbali
Kikao hiki kililenga kusikiliza kwa karibu matatizo, maoni, na wasiwasi wa Wanafunzi, sambamba na kujadili mabadiliko yanayotarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia muhula ujao wa masomo.