-
Watu Zaidi ya Milioni 21 Wamehudhuria katika Arubaini ya Imam Hussein (a.s) kwa Mwaka huu wa 1447 Hijria / 2025
Kulingana na taarifa ya Haram Tukufu ya Abasi, idadi ya mahujaji waliohudhuria maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s) mwaka huu imefikia milioni 21,103,524.
-
Jeshi la Iran:
"Majibu ya Iran yatakuwa makali zaidi iwapo adui atafanya kosa”
Jeshi Kuu la Iran lilibainisha kuwa katika tukio la kosa la kimahesabu kutoka kwa adui, kile kilichozuia operesheni kubwa wakati wa vita vya siku 12 vilivyopita hakitarudiwa tena.
-
Mkutano wa Wanazuoni na Wasomi wa Nchi Mbalimbali na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) katika Mji wa Karbala + Picha
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) –ABNA – Sambamba na maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s) na uwepo wa Ayatullah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) katika mji mtukufu wa Karbala, kundi la wanazuoni, wasomi na wanaharakati wa kidini na kiutamaduni kutoka nchi mbalimbali walikutana naye kwa nyakati tofauti na kufanya mazungumzo.