Ijumaa ya leo wapalestina wameiita kuwa ni siku ya Hasira ambapo baada ya sala ya Ijumaa kumetokea malumbano makali kati ya wapalestina na waisrael hii ni baada ya askari wa Israel kumuua waziri wa Palestina.
12 Desemba 2014 - 18:30
News ID: 657801