Waswahili wanasema ukistaajabu ya musa, hujaona ya Firauni: Wapalestina waandamana wakiwa wamevaa mavazi ya Papaa Noel katika mji wa Ramallah wakiwa wameshika picha za waziri wa Palestina aliyeuawa na askari wa Israel, Shahidi Ziyad Abuain, waandamanaji hawa walikwenda mpaka eneo ambalo askari wa Israel walimuua waziri huyo na hatimaye kukatokea machafuko na vurugu kati ya waandamanaji wa kipalestina na askari wa Israel.
26 Desemba 2014 - 19:06
News ID: 660866