“Kile ambacho ni utambulisho wa Ahlul-Bayt (a.s), ni kilekile ambacho ni utambulisho wa Qur’an; ikiwa Qur’an inazungumza kwa ukweli, basi Ahlul-Bayt (a.s) pia wanazungumza kwa kweli, na ikiwa walisitiza kusema kitu fulani, kilikuwa kwa kweli.”
"Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli — ambaye yuko ziarani nchini Iraq kwa ajili ya kutembelea maeneo matakatifu — amekutana na kufanya mazungumzo na Ayatollah al-Udhma Sistani huko Najaf Al-Ashraf."
Katika heshima ya ziara hii tukufu, Haram ilifanya hafla maalum ya kumuenzi Sheikh Jawadi Al-A'muli, sambamba na kuzinduliwa kwa kitabu chake kipya chenye kichwa: Sharh Ziyarat Al-Jami'a Al-Kabira