Baraza la Ulamaa
-
Shinikizo la Marekani kwa Umoja wa Mataifa Kuhusu Kuondoa Jina la Abu Muhammad al-Julani Kwenye Orodha ya Vikwazo vya Baraza la Usalama
Marekani imeanza kuiwekea shinikizo Umoja wa Mataifa ili kuondoa vikwazo vilivyowekwa na Baraza la Usalama dhidi ya Ahmad al-Shara, anayejulikana kwa jina la Abu Muhammad al-Julani, mkuu wa serikali ya mpito ya Syria na kiongozi wa kundi la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS).
-
Baraza Kuu la Fat'wa la Syria: Kusaliti na kuomba msaada kwa adui wa Kizayuni ni haramu
"Adui wa Kizayuni ni adui wa wazi na ambaye uadui wake umethibitika, na kuomba msaada kwake ni miongoni mwa mambo yaliyo haramu kwa yakini."
-
Himaya thabiti ya Allama Sajid Naqvi kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi/Syed Khamenei Shkhsia wa Kimataifa anayeheshimika katika Ulimwengu wa Kiislamu
Akikosoa matamshi ya hivi karibuni ya kimatusi dhidi ya Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Shakhsia mwenye hadhi ya Kimataifa katika Umma wa Kiislamu, na kauli yoyote ya kumtusi inaweza kuwa na matokeo mabaya na ya kutia wasiwasi.
-
Mwenyekiti wa Baraza la Ulamaa wa Pakistan: Mahali pa mwisho pa mradi wa "Israeli Kubwa" ni Makka na Madina
Mkuu wa Baraza la Ulamaa wa Pakistan alionya kwamba mradi wa "Israeli Kubwa" unatafuta udhibiti wa mwisho juu ya Madina na Makka.
-
Sheikh Izzud_Din wa Kenya:
Nakiri kwa sababu nilipotezwa na hisia zangu, naomba radhi na msamaha
"Natumia fursa hii kumuomba radhi Rais wa Tanzania, Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kumhusisha katika mazungumzo yangu".