Damascus
-
Mfumo wa Mahakama wa Serikali ya Joulani umetoa amri ya kukamatwa pasina kuwepo (arrest in absentia) dhidi ya Rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad
Hapo awali, mfumo wa mahakama wa Ufaransa katika Mwezi wa Novemba 2023, uliitoa hukumu ya kukamatwa dhidi ya Bashar Assad kwa ushiriki katika mashambulizi ya kemikali yaliyotolewa na majeshi yake mwaka 2013 katika Ghouta na maeneo mengine karibu na Damascus, yaliyopelekea vifo vya watu wengi.
-
Sayyid Abdul-Malik Badruddin al-Houthi:
Sera ya makusudi ya kuwalisha watu njaa inayotekelezwa na Wazayuni ni Kushindwa kwa Maadili kwa jamii ya Kimataifa.Magharibi ni Msaidizi Mkuu wa Uovu
"Adui, kwa kushirikiana na Wamarekani, kila siku anaeneza mitego ya mauti kwa lengo la kuwaangamiza Wapalestina, na anaendelea kutekeleza uhalifu wa karne na fedheha ya enzi hii, kwa sababu amepewa uhakikisho kutoka kwa baadhi ya tawala za Kiarabu - bali anapewa motisha, msaada na uungwaji mkono nao."
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Kama siyo Muqawama, Israel ingeingia Beirut / Kamwe hatutaweka silaha chini
Sheikh Qasim alieleza kuwa ramani ya njia ya baadaye ni: kufukuza adui kutoka ardhi ya Lebanon, kusimamisha uvamizi, kuwaachia huru wafungwa, kuanza upya ujenzi wa taifa na kisha kushughulika na mkakati wa ulinzi wa kitaifa.
-
Donald Trump na Abu Muhammad al-Julani wakutana katika Mji wa Riyadh | Mwanzo wa sura mpya katika uhusiano kati ya Damascus na Washington
Rais wa Serikali ya mpito ya Syria alikutana na Rais wa Marekani katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.