Dawa
-
Iran Yatangaza Uzinduzi wa AlphaZa, Dawa ya Kwanza ya Ndani ya Tiba ya Saratani kwa Teknolojia ya Mionzi ya Alpha
Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) limetangaza kuwa linakaribia kuzindua rasmi AlphaZa, dawa ya kwanza iliyotengenezwa nchini humo kwa kutumia teknolojia ya mionzi ya alpha, inayolenga kutibu saratani zilizo katika hatua za juu na zinazoshindikana kwa matibabu ya kawaida. Hatua hiyo inaashiria mafanikio makubwa ya Iran katika matumizi ya amani ya teknolojia ya nyuklia katika sekta ya afya.
-
Kampuni ya CinnaGen ya Iran imepata mafanikio makubwa baada ya dawa yake ya Zandoriah (teriparatide) kuidhinishwa kuuzwa katika nchi 27 za Umoja wa Ul
Kampuni ya CinnaGen ya Iran imepata mafanikio makubwa baada ya dawa yake ya Zandoriah (teriparatide) kuidhinishwa kuuzwa katika nchi 27 za Umoja wa Ulaya pamoja na nchi tatu za EEA, hatua inayochukuliwa kuwa mafanikio muhimu kwa sekta ya dawa na teknolojia ya afya ya Iran.
-
Tanzania Yakamata Pakiti 20 za Skanka Zenye Kilogramu 20 Kwenye Bus la Kimataifa, Temeke - Dar-es-salaam
Mamlaka ya DCEA imekamatwa pakiti 20 za skanka zenye uzito wa kilo 20.03 zilizofichwa kwenye balo la mitumba ndani ya bus la Scania la King Masai Tours, lenye namba za usajili AAM 297 CA, likisafiri kati ya Nampula, Msumbiji na Dar es Salaam. Watuhumiwa waliokamatwa ni Amasha Iddi Mrisho (40) kutoka Dar es Salaam na Seleman Juma Ally (32) raia wa Msumbiji. Uchunguzi na kesi za kiutumishi zinaendelea.