Hassan
-
Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum: "Kuombea Dua Maiti ni Jambo Lililothibitika katika Qur’an na Sunna - Ukisema Maiti Hafaidiki! Kasome tena Hujui Kitu"
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa hotuba fupi katika hafla ya Dua ya kumuombea Marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa Mume wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaombea Dua waliotangulia mbele ya Haki.
-
Mbunge wa Hizbullah: Israel Itaondoka Kusini mwa Lebanon kwa Mujibu wa Makubaliano kati ya Marekani na Iran
Mbunge wa Hizbullah amesema Lebanon itakuwa sehemu ya makubaliano yoyote ya usitishaji vita, akisisitiza kuwa kuondoka kwa majeshi ya Israel kusini mwa Lebanon na dhamana za Marekani ni masharti muhimu ya utekelezaji wake.
-
Rais Samia na Marekani Wathibitisha Ushirikiano wa Kimkakati kwenye Miradi Mikubwa ya Uwekezaji
Kwa upande wake, Balozi Lentz alieleza kuwa ushirikiano wa Tanzania na Marekani umejengwa katika misingi ya ustawi wa pamoja, si utegemezi wa misaada, na kupongeza juhudi za Tanzania chini ya falsafa ya 4R na Dira ya Maendeleo ya 2050. Takribani makampuni 400 ya Marekani yanafanya kazi nchini, jambo linaloonesha kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji.