Kijana
-
Kijana Muislamu wa Kishia Nchini Uzbekistan Ahukumiwa Miaka Mitano Jela kwa Kusambaza Mashairi ya Maombolezo ya Kidini Kupitia Telegram
Kijana Muislamu wa Kishia mwenye umri wa miaka 22 nchini Uzbekistan amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kusambaza tenzi za maombolezo ya kidini (Marthiya) kupitia mtandao wa Telegram, hatua inayoibua maswali kuhusu uhuru wa shughuli za kidini nje ya taasisi zinazodhibitiwa na Serikali.
-
Kurejea Mapendekezo ya Mwisho ya Kiongozi Shahidi; Sehemu ya Saba: Suluhisho ni Kuwa Imara Zaidi
“Kuimarika na kuwa na nguvu zaidi” lilikuwa pendekezo muhimu zaidi la Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano wake wa mwisho na wanafunzi wa vyuo vikuu. Hili ni hitaji la kimkakati kwa ajili ya kuilinda nchi katika nyanja zote, jambo ambalo pia lilisisitizwa katika ujumbe wa kwanza wa Kiongozi mpya mwenye hekima na kijana wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kifo cha Kishahidi Klcha Kijana Msyria Usiku wa Harusi Yake Akiwa Anapambana na Uvamizi wa Israel katika Mji wa Bayt Jinn
Kijana mmoja Msyria ameuliwa shahid usiku wa harusi yake wakati akipambana na uvamizi wa jeshi la Israel katika mji wa Bayt Jinn, ulioko katika vitongoji vya kusini mwa Damascus.