Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amemjibu vikali Donald Trump kufuatia vitisho dhidi yake, akikanusha tuhuma za biashara ya dawa za kulevya na kuonya kuwa jaribio lolote la kumtia mbaroni litachochea upinzani mkubwa wa wananchi, huku akisisitiza ulinzi wa uhuru na heshima ya taifa la Colombia.
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alipokutana na washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Allamah Mirza Na'ini yamechapishwa leo asubuhi katika ukumbi wa mkutano huo mjini Qom.