Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema limeangamiza ndege tatu za kivita aina ya F-35 na kuharibu vibaya nyingine tatu katika mashambulizi ya makombora ya balistiki dhidi ya kituo cha anga cha Al-Azraq nchini Jordan.
Mamlaka ya Bandari na Usafiri wa Baharini ya mkoa wa Hormozgan nchini Iran imefanikiwa kuwaokoa mabaharia 23 baada ya meli mbili za mizigo kugongana katika maji ya pwani ya Bandar Abbas.