Tafiti
-
The Economist: Trump Aweka Rekodi ya Kutopendwa Zaidi katika Historia ya Tafiti za Jarida Hilo
Utafiti wa pamoja wa The Economist na YouGov umeonyesha kuwa umaarufu wa Donald Trump umeendelea kushuka, huku vita dhidi ya Iran na changamoto za uchumi zikitajwa kuwa sababu kuu za kuongezeka kwa upinzani dhidi yake miongoni mwa Wamarekani.
-
Trump amepata kadi nyekundu nyingi zaidi kutoka kwa Wamarekani
Kulingana na tafiti mpya za YouGov, Donald Trump amepata kiwango cha juu zaidi cha tathmini hasi miongoni mwa marais 20 wa Marekani waliyochunguzwa, ambapo zaidi ya nusu ya wananchi wanauona utendaji wake wa urais kama duni au chini ya wastani.
-
Kura za maoni zapinga madai ya Trump; Wamarekani wengi hawaridhiki na utendaji wa rais
Wakati Donald Trump alipodai Jumatatu kuwa ameweka rekodi mpya ya umaarufu wake, matokeo ya kura za maoni zinaonyesha kuwa Wamarekani wengi hawaridhiki na utendaji wake, hasa katika masuala ya uchumi na uhamiaji.
-
Rais wa Taasisi ya Tafiti za Kistratejia “Naba’” ya Iraq katika mazungumzo na ABNA:
Uamuzi wa mwisho ni wa Iraq, si wa Marekani / Mfumo wa Uratibu wa Kishia una mkono wa juu
Sambamba na kuongezeka kwa harakati za kisiasa kwa ajili ya kubainisha muundo wa serikali ijayo ya Iraq, Hashim Al-Kandi ameeleza kurejea kwa mshikamano wa Mfumo wa Uratibu wa Kishia, kuundwa kwa kamati maalumu za kumchagua Waziri Mkuu, pamoja na kukaribiana kwa mikondo ya Kisunni na Kikurdi, na kusisitiza kuwa hakuna kikwazo kikubwa katika njia ya kuunda serikali.