Taleban
-
Marekani yauwa wapiganaji wa Talibani 18
Wapiganaji kumi na wanane wa Taliban wameuwawa baada ya kushambuliwa na ndege za kivita za Marekani kusini mwa Afghanistan katika wilaya ya Gayan.
-
Taliban wauwa wanajeshi wanne wa serikali
Maafisa wa Afghanistan wamesema wanajeshi wanne wameuawa katika mapigano ya kuzuia shambulizi la Wataliban kwenye kituo cha jeshi cha ukaguzi wa barabarani katika mkoa wa Helmand wenye visa vingi vya vurugu.
-
Umoja wa mataifa waiomba Pakistan kuacha kutoa hukumu ya kifo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ameendelea kuihimiza Pakistan kusitisha adhabu ya kifo na kurejesha tena marufuku iliowekwa dhidi ya adhabu hiyo ilioondolewa na serikali kufuatia shambulizi la Peshawar.
-
Majeshi ya Afghanistan yaanzisha operesheni dhidi ya wapiganaji wa Taleban
Vikosi vya usalama vya Afghanistan vimeanzisha operesheni dhidi ya wapiganaji wa jimbo la mashariki, eneo linaloonekana kuwa ngome ya kundi la Taliban
-
Serikali ya Pakistan kuwanyonga magaidi 500
Serikali ya Pakistan inapanga kuwanyonga takriban magaidi 500 ndani ya wiki chache zijazo, baada ya serikali kuondoa marufuku ya muda ya kutumika adhabu ya kifo dhidi ya wanaotiwa hatiani kwa ugaidi.
-
Jeshi la Pakistani laua wapiganaji wa Taleban 57
Jeshi la Pakistan limeongeza mashambulizi yake dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu na kuuwa wapiganaji wa talebani hamsini na saba kwa mashambulizi ya angani na ardhini.
-
Maombezo ya waliofariki katika hujuma ya Talebani Pakistan + Picha
Wakazi wa Pakistan wanaomboleza msiba wa siku tatu na kuandaa mazishi ya pamoja ya wahanga wa shambulio la kishenzi la kundi la wataliban katika shule ya kijeshi iliyoko katika mji wa Peshawar.
-
Viongozi mbalimbali wasikitishwa na shambulizi la kigaidi Pakistan + Picha
Ujerumani imesikitishwa sana na kile imekitaja kuwa ni "ukatili mkubwa" shambulizi lililofanywa na Taliban ambalo limewauwa karibu watu 132, wengi wao watoto, katika shule moja inayosimamiwa na jeshi ya mji wa kaskazini mashariki mwa Pakistan, Peshawar.
-
Talebani wazidisha mashambulizi
Waasi wa kundi la Taliban wameuwa watu wasiopungua 19 katika mfululizo wa mashambuzi ya bunduki na kujitowa muhanga nchini Afghanistan leo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Ujeruman afanya ziara ya Siri Afghanstani + picha
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen amefanya ziara ya kustukiza nchini Afghanistan, siku chache kabla ya kuondoka kwa wanajeshi wa kimataifa nchini humo.
-
Taliban washambulia shirika la kikristo Afghanstan
Wanamgambo wa kundi la Taliban nchini Afghanistan wamedai kuhusika katika mashambulizi yaliyolenga kituo kimoja cha wamishonari wa kikiristo mjini Kabul.