Umma wa Kiislamu
-
Himaya thabiti ya Allama Sajid Naqvi kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi/Syed Khamenei Shkhsia wa Kimataifa anayeheshimika katika Ulimwengu wa Kiislamu
Akikosoa matamshi ya hivi karibuni ya kimatusi dhidi ya Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Shakhsia mwenye hadhi ya Kimataifa katika Umma wa Kiislamu, na kauli yoyote ya kumtusi inaweza kuwa na matokeo mabaya na ya kutia wasiwasi.
-
Imam wa Msikiti wa Imam Sadiq (as), Mauritania: "Israeli ni uvimbe wa saratani ambao lazima uondolewe kabisa | Umoja wa Kiislamu uko juu ya Madhehebu"
Kauli hii ya Imam huyu inasisitiza umuhimu wa mshikamano wa Waislamu kote duniani, kwani umoja wa kweli unapaswa kuvuka mipaka ya tofauti za madhehebu na kuwa na lengo moja la kutetea haki na kuondoa dhuluma na udhalimu.
-
Katika mazungumzo na daktari kutoka Yemen:
Imamu Khomeini alilitambua adui mkuu wa Umma wa Kiislamu; vita vya vyombo vya habari dhidi ya Iran vimeanzishwa
Daktari mwanamke kutoka Yemen alisema: Maadui walijitahidi kuionesha Iran kuwa adui wa Umma wa Kiislamu na mbadala wa adui wa kweli, ilhali maadui wakubwa na wa kihasama zaidi wa Umma wa Kiislamu ni Mayahudi wanaopinga Uislamu.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: "Hakuna manufaa yoyote kwa Umma wa Kiislamu yaliyo juu ya Umoja"
Kiongozi Muadham wa Mapinduzi ameeleza katika Mkutano na wahusika wa Hajj na baadhi ya Waumini waliotembelea Nyumba Tukufu (Al-Kaaba) kwamba: "Muundo na sura ya nje ya ibada hii ni ya kisiasa kabisa, lakini maudhui ya vipengele vyake ni ya kiroho na ya ibada, ili manufaa ya Wanadamu wote yaweze kutimizwa. Na leo, faida kubwa kwa Umma wa Kiislamu ni 'Umoja na Ushirikiano' ili kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu. Ikiwa umoja huu ungelikuwepo, matatizo kama ya Gaza na Yemen yasingekuwepo."