Usomaji
-
Kuandaliwa kwa Kikao Maalumu cha Usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa Heshima ya Hazrat Fatima Zahra (SA) katika Haram Tukufu ya Bibi wa Karama
Kikao cha Kursi Tilawat Fatimiyya kinafanyika katika ukumbi wa Imam Khomeini (RA), ndani ya Haram Tukufu ya Hazrat Fatima Masuma (SA), kikihusisha usomaji wa Qur’ani Tukufu kutoka kwa msomaji wa kimataifa wa Qur’ani, Sayyid Muhammad Madani, ufafanuzi wa aya za Qur’ani kutoka kwa Hujjatul-Islam wal-Muslimin Ali Khalilpour, usomaji wa Qur’ani kutoka kwa kijana Mahdi Ebrahimi, pamoja na maonesho ya kikundi cha uimbaji.
-
Darsa ya Qur’ani Tukufu Yaendelea Kufanyika kwa Wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa Mbezi Beach, Dar es Salaam
Darsa ya Qur’ani Tukufu iliyoongozwa na Sheikh Muhammad Jafar imefanyika kwa wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa Mbezi Beach, Dar es Salaam, ambapo wanafunzi wamejifunza kanuni za usomaji sahihi wa Qur’ani, hukumu za usomaji, maana ya Aya Tukufu pamoja na umuhimu wa kufanya Tadaburi katika Aya za Qur’ani.
-
Wanafunzi wa Madrasat Hazrat Zainab (sa) Washiriki Usomaji wa Dua ya Nudba
Asubuhi ya Ijumaa, tarehe 25 Septemba 2026, wanafunzi wa Madrasat Hazrat Zainab (sa), Kigamboni, Dar es Salaam, wamehuisha ibada ya kusoma Dua ya Nudba, ikiwa ni sehemu ya utamaduni wao wa kila Ijumaa wa kuimarisha ibada, maadili na mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as).
-
Kikao cha Qur’an katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini kikihudhuriwa na Kiongozi Mkuu wa Iran Siku ya Kwanza ya Ramadhan
Kikao cha Qur’an katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini (M.A) Siku ya kwanza ya Ramadhan kilisisitiza umuhimu wa Qur’an katika maisha ya kiroho ya Waislamu na thawabu za usomaji wake.