19 Februari 2026 - 21:58
Kikao cha Qur’an katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini kikihudhuriwa na Kiongozi Mkuu wa Iran Siku ya Kwanza ya Ramadhan

Kikao cha Qur’an katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini (M.A) Siku ya kwanza ya Ramadhan kilisisitiza umuhimu wa Qur’an katika maisha ya kiroho ya Waislamu na thawabu za usomaji wake.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kikao cha Kukaribisha Usomaji wa Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimefanyika katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini(Ra) kwa kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ikiwa nivsiku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Ramadhan ni msimu wa Qur’an Tukufu, ambapo usomaji wake huambatana na thawabu nyingi zaidi na huimarisha uhusiano wa mtu na Mwenyezi Mungu.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha