Vibaya
-
Araghchi: Maseneta wa Marekani wanataka kujiondoa katika mkwamo huu!
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amesema kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, ni mhalifu wa vita anayetafutwa na kwamba anajaribu kujiokoa na haki kwa kuyahatarisha zaidi maisha na mali za Wamarekani. Araghchi amesema hata maseneta wa Marekani wanatafuta njia ya kujiondoa katika mkwamo unaotokana na kushindwa vibaya. Kauli yake imekuja baada ya jenerali wa zamani wa Israel kufichua kuwa Netanyahu alikuwa ameonywa kuhusu vita miezi mitatu kabla ya kuanza kwake.
-
Trump Arudia Tena Dai la Kushindwa kwa Iran
Donald Trump, Rais wa Marekani, katika hotuba yake leo (Jumanne), alidai kwamba Iran imeshindwa vibaya sana na iko katika hali mbaya mno, akisema kuwa mzozo huu utamalizika hivi karibuni.
-
Je, Taurati imebadilishwa? Angalia jibu la Qur’an hapa!
Kuhusu taarifa (maelezo) ya Qur’an Tukufu kuhusu ubadilishaji wa maneno ya Taurati, kuna mjadala wa kiitihadi kama ifuatavyo: 1. Mtazamo maarufu (ushahidi unaoonekana wazi kabisa katika Quran) Watafiti wengi na wafuasi wa mtazamo huu wanaona kwamba Qur’an inazungumzia ubadilishaji wa maneno kwa uwazi jabisa. Qur’an inataja maneno yaliyopinduliwa au kuharibiwa na baadhi ya Watu wa Kitabu (Ahlul-kita'bi): «يُحَرِّفُونَ الْكَلِمَ عَن مَوَاضِعِهِ» (An-Nisa 46) Hapa (kwa mujibu wa Aya hiyo Tukufu) , ubadilishaji huo unahusiana na maneno yenyewe, na si tafsiri tu. 2. Mtazamo wa wapinzani (Mukhalifuna) Wao wanasema kuwa Qur’an inazungumzia ubadilishaji wa maana, si maneno ya kifasihi: Wanasema kuwa maneno ya msingi hayajabadilishwa, lakini maana au tafsiri potofu ndizo zilizobadilishwa au kutumika vibaya. Hii inaitwa ubadilishaji wa maana (tafsiri) badala ya ubadilishaji wa maneno.