Wanaharakati
-
Wanaharakati Nchini Denmark Waandamana Kupinga Matamshi ya Chuki Dhidi ya Waislamu Yanayoenezwa na Wafuasi wa Mrengo wa Kulia Uliokithiri
Wanaharakati wanaopinga ubaguzi wa rangi mjini Copenhagen wamepinga madai ya mrengo wa kulia uliokithiri kwamba unapambana na Unazi na Uislamu wa kisiasa. Wanaharakati hao walishiriki katika mkusanyiko wa maandamano ya kupinga sera ya kuwafukuza wahamiaji. Kwa mujibu wa mmoja wa waandaaji, kauli hizo haziwezi kuficha chuki dhidi ya Waislamu, ambayo hujitokeza hasa kwenye mitandao ya kijamii.
-
Wasanii 168 Kushiriki Siku za Utamaduni wa Iran Nchini Urusi
Balozi wa Iran mjini Moscow, Kazem Jalali, ametangaza kuwa wasanii na wanaharakati 168 wa masuala ya utamaduni kutoka Iran watashiriki katika Siku za Utamaduni wa Iran zitakazofanyika katika miji minne ya Urusi mwezi Oktoba.
-
Jordan Yakaribia Kufikia Dai la Kitaifa: Watu Mashuhuri Wataka Mkataba wa Kijeshi na Marekani Ufutwe
Zaidi ya watu 130 mashuhuri nchini Jordan, wakiwemo wanasiasa, wasomi, waandishi, wanaharakati wa kijamii na viongozi wa makabila, wametaka Serikali ifute Mkataba wa Usalama na Kijeshi kati ya Jordan na Marekani, wakionya kuhusu athari za kisiasa, kiusalama na kiuchumi zinazoweza kusababishwa na uwepo wa vikosi vya kigeni nchini humo.
-
France 24: Sera la Laicité (Utaifa usioegemea Dini) nchini Ufaransa yageuzwa kuwa chombo cha shinikizo la kisiasa dhidi ya Waislamu
Wataalamu: Sheria hizi zinalenga kundi moja tu - Waislamu Nicolas Cadène, ambaye ni mtaalamu maarufu wa sheria ya Ulaikishe na aliyewahi kuwa ripota wa Kituo cha Uangalizi wa Ulaikishe, ameiambia France 24 kwamba: “Mipango hii inawalenga Waislamu pekee, na inaonyesha kukubalika kwa ubaguzi wa wazi.”