Wema

  • Wosia Kwa Historia na Wanadamu Wote

    Wosia Kwa Historia na Wanadamu Wote

    Wosia wa Hadhrat Ali (amani iwe juu yake), ni moja ya maandiko muhimu ya Kiislamu yaliyosheheni mafunzo ya kimaadili (kiakhlaq), kijamii na kisiasa, na sio tu kwa ajili ya watoto na masahaba zake, bali pia ni nuru kwa watu wote wanaotafuta ukweli (uhakika) na uadilifu.