Amesema: “kila siku nashuhudia dharau na kutojali maisha ya Wapalestina kwa upande wa Waisraeli,” akieleza kuwa mwenendo huo ni “wa aibu” na kwamba wale wanaotekeleza “matendo haya mabaya” wanairudisha nyuma ubinadamu kila siku.
Msemaji wa Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) alisema kwamba Israeli inaua Wapalestina 100 kila siku katika Ukanda wa Gaza.
Darsa hili la Qur’an Tukufu linawafundisha zaidi Wanafunzi kuwa Qur'an ni mshirika na muombezi wa yeyote mwenye kushikamana nayo Siku ya Kiyama, hummulikia njia yake hapa duniani, na humuinua katika ngazi za juu Peponi