Mkuu wa Majeshi wa Taliban, Fasihuddin Fitrat, amesema kuwa Afghanistan inahitaji jeshi lenye vifaa vya kisasa, lililopata mafunzo na linalojitegemea. Wakati huohuo, ameishutumu Pakistan kwa kutumia biashara na mipaka kama nyenzo za kuishinikiza Afghanistan kiuchumi, pamoja na kuyasaidia makundi yenye silaha yanayoipinga serikali ya Taliban. Pakistan imewahi kukanusha tuhuma za aina hiyo.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unatumaini kwamba udhaifu wa Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen utaifanya Riyadh kupanua ushirikiano wa kiusalama na Tel Aviv.
Iran imetoa onyo kwamba nchi yoyote itakayoisaidia Marekani katika hatua za kijeshi dhidi yake inaweza kuchukuliwa kuwa mshirika wa Marekani na kulengwa na hatua za kijeshi.