kutetea
-
Mkuu wa Mahakama ya Iran: Madai ya Marekani ya Kutetea Haki za Binadamu ni ya Kichekesho
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Hujjatul-Islam Gholam-Hossein Mohseni Ejei, amesema kuwa madai ya Marekani kuhusu kuunga mkono haki za binadamu ni ya kichekesho, akituhumu Washington kutumia propaganda za vyombo vya habari kuficha uhalifu wake na kupotosha ukweli.
-
Majlisi ya Maombolezo ya Muharram Yafanyika Jamiat Al-Mustafa, Dar es Salaam
Majlisi ya maombolezo ya mwezi wa Muharram imefanyika katika Jamiat Al-Mustafa, Dar es Salaam, Tanzania, ambapo mhadhiri alikuwa Sheikh Taqee Zacharia Athumani, akizungumzia sababu za kuhuishwa kwa kumbukumbu ya Karbala kila mwaka.
-
Hezbollah Yatangaza Mashambulizi 22 Dhidi ya Vikosi vya Israel Kusini mwa Lebanon
Hezbollah imesema imefanya operesheni 22 za kijeshi kwa kutumia makombora, ndege zisizo na rubani na mizinga dhidi ya vikosi vya Israel kusini mwa Lebanon, ikidai kuharibu magari ya kijeshi, kulenga vituo vya kijeshi na kulazimisha ndege ya Israel ya aina ya Hermes 450 kuondoka katika anga la Lebanon.
-
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa: Hatutawahi Kusalimu Amri kwa Vitisho wala Mashinikizo
Balozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitawahi kusalimu amri mbele ya vitisho, mashinikizo au vitendo vya kutisha kutoka nje, akisisitiza kuwa taifa hilo litaendelea kulinda uhuru na haki zake kwa uthabiti.
-
Araghchi Azungumza na Mawaziri wa Uturuki na Saudi Arabia: Iran Ina Haki ya Kujibu Mashambulizi ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amelaani mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na kusema Iran ina haki halali ya kujibu uchokozi wowote dhidi ya mamlaka na umoja wa ardhi ya nchi hiyo.